BURUNDI : Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Ubelgiji Didier Reynders aliagiza Wabelgiji wote waishio nchini kurudi makwao, lakini Balozi wa Ubelgiji « anakanusha »

TANGAZO N° 43/2015 LA CHAMA CNDD-FDD LA TAREHE 24 NOVEMBA, 2015 Tarehe 13 Novemba 2015, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Ubelgiji, kupitia vyombo vya habari vya RTBF cha Ubelgiji na IWACU ya Burundi aliagiza kwamba Wabelgiji wote waliopo nchini waondoke […]