Tangazo

Tangazo

TANGAZO N° 42/2015 LA CHAMA CNDD-FDD LA TAREHE 19 NOVEMBA, 2015

Kutokana na shinikizo la Waziri Mkuu wa Ubelgiji Charles Michel mtoto wa Louis Michel, Didie Reynders Waziri wa Ubelgiji wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ameamuru Wabelgiji waliopo nchini kurudi kwao mara moja.   Katika tangazo la chama CNDD-FDD la tarehe 3 Oktoba, 2015, chama kilionyesha kuthamini na masikitiko vilivyosababishwa na…

Tangazo

Salamu za rambirambi kwa nchi ya Ufaransa na watu wake.

TANGAZO N° 41/2015 LA CHAMA CNDD-FDD LA TAREHE 16 NOVEMBA, 2015. Baada ya kusikia mashambulizi ya kigaidi katika nchi ya Ufaransa, chama CNDD-FDD kinatoa salamu zake za rambirambi kwa Ufaransa na watu wake. Chama kinasikitishwa na uhalifu na kulaani kwa nguvu zote ugaidi huo usiobagua nchi au sehemu yoyote ya dunia. Ni wakati ambapo nchi…

Tangazo

TAMKO RASMI LA CHAMA CNDD-FDD LA TAREHE 03 OKTOBA, 2015

Jumuiya ya nchi za Ulaya imechukulia baadhi ya warundi hatua za uchokozi zisizofariji kinyume na sheria Tarehe 01 Oktoba, 2015 Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ilikutana Ubelgiji ambapo ilichukuwa hatua zisizo wazi na zisizofaa dhidi ya warundi wanne (4) wa kabila moja la wahutu. Hatua hizo zinawakataza watajwa hao kuingia katika nchi wanachama wa Jumuiya…

Tangazo

TANGAZO N° 036/2015 LA CHAMA CNDD-FDD LA TAREHE 15 Septemba, 2015

WANAOUA WATU HAWAJUI WANACHOKIFANYA, WANA KIU YA DAMU TU Wanasiasa wa upinzani sugu wasiopenda kuutambua uongozi uliopo wamechagua njia isiyofika. Kumekuwepo na mauaji ya kupanga yakilenga baadhi ya viongozi ambao ni  maafisa katika mamlaka za ulinzi na walio katika vyama vya upinzani. Mifano ni kuuawa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama UPD – Zigamibanga Zedi Feruzi,…

1 2